Mrema "Msajili Huoni Huu Ukiukwaji wa Sheria kwa Vyama?


Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuna ukiukwaji wa sheria kwenye vyama vya siasa.

Amesema watumishi wa umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama.

“Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako,” mrema

Mrema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter “Msajili wa vyama huoni Hui ukiukwaji wa sheria ya vyama vya siasa? Watumishi w umma wanalazimishwa kushiriki siasa na kuvaa nguo za vyama …. Chukua hatua ya kukemea ili ulinde heshima ya ofisi yako,”.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Good Moningi Mrema.
    Umechelewa kuchukua Fomu..??

    Hao Vibeko wengine wameshajaza..? Umesikia kama Steve na ameshachukua ya Jimbo la Lahisi mtalajiwa Mchungaji Pita hukoo..!

    ReplyDelete