7/25/2020

Mrembo Ajuta Baada ya Kumkataa Mkaka Aliyemtongoza Kwa Miaka Mitatu Facebook...

Mdada huyo pichani amejitosa kujutia kupuuzia na kutojibu meseji za jamaa huyo ambaye alikuwa akimtongoza inbox muda mrefu kuanzia 2016 hadi 2019. Majuto ya mrembo huyo yamekuja kufuatia wiki hii jamaa huyo kutangazwa kuwa mmoja wa washiriki wapya waliopita katika mchujo ili kuingia katika shindano la Big Brother Nigeria 2020 ambapo mshindi hupata mkwanja wa maana.

Mdada ameongeza kuwa atajutia zaidi maisha yake yote kupuuzia inbox za jamaa huyo hasa kama ataibuka kidedea kujizolea kitita
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger