Mrembo Kajala Atamani Kupata Ujauzito Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



STAA wa Bongo Movies, Kajala Masanja amejikuta akiduwaa baada ya marafiki zake wakiongozwa na shosti yake, Lamatha kumfanyia sapraizi kwenye siku yake ya kuzaliwa, leo Jumatano, Julai 22, 2020.

Katika Party hiyo, Kajala aaliongea mambo mengi ikiwemo mahusiano yake, " “Kwa sasa nipo kwenye mahusiano, nina mpenzi ambaye nina date naye, ni serious relationship, siwezi kusema kama nimevalishwa pete wala siwezi kumwanika, ila muda ukifika na kukiwa na uhitaji huo, nitafanya hivyo. Mwanangu Paula ananisumbua sana “mama ukifa sasa hivi utaiacha na nani?”, ninampango mwakani nibebe ujauzito nipate mtoto mwingine, ninatamani sasa kupata mtoto tena,”-Kajala @kajalafrida .
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad