7/14/2020

Mrisho Gambo Ajitosa Ubunge Arusha Mjini.....


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amekuwa miongoni mwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger