7/13/2020

Mwigizaji wa Marekani Kelly Preston afariki duniaMwigizaji wa Marekani Kelly Preston (57) ambaye alifanya vizuri kwenye Filamu za Jerry Maguire, Twins na Mischief amefariki Dunia jana July 12,2020 kutokana na kuugua Kansa ya Matiti, Mumewe John Travolta ambaye pia ni Mwigizaji (Hollywood Star) amethibitisha.

“Kwa moyo wenye majonzi makubwa nasikitika kuwafahamisha kuwa Mke wangu, Kelly wangu mrembo amefariki baada ya kupigana kwa miaka miwili akisumbuliwa na Kansa ya Matiti”-TRAVOLTA
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger