7/21/2020

Mwijaku Atoa Mpya Akiomba Kura "Kilichotokea Jana Nimeona Siwezi Kushinda"Mtangazaji na mwigizaji Mwijaku amesema matokeo ya kura za maoni ya wagombea ubunge CCM yaliyotoka siku ya jana yamemkatisha tamaa na kwamba ameona hawezi kushinda.

"Kilichotokea jana nimeona siwezi kushinda, nimewaambia wajumbe wamchague yule wanayemuona anafaa, nimeona jana kilichotokea mgombea ameshangiliwa lakini amekosa kura"

"Watu wa Kawe sijawaelewa hawajawauliza kabisa maswali wagombea, sijapendezwa kabisa" Mwijaku
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger