7/24/2020

Mzee Kikwete amefika nyumbani kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na kusaini kitabu cha maombolezoRais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amefika msibani nyumbani kwa marehemu Rais wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa na kusaini kitabu cha maombolezo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger