NANDY aitwa BASATA ..Kisa Video Chafu Alizokuwa Anapost, Akubali na Kuamua Kuomba Msamaha kwa Watanzania na Mashabiki

NANDY aitwa BASATA kwa makosa haya, Akubali na kuamua kuomba msamaha kwa Watanzania na mashabiki, Kisa Kizima cha Kuitwa Basata ni Promotion ya Nyimbo yake aliyofanya na Harmonize kwani alikuwa anapost Video ambazo hazina maadili za wanawake wakizungusha Maoni

Hapa Kwenye Video Ameongea na Kuomba Msamaha:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments