Ndalichako ameshinda kwa kura za maoni jimbo la KasuluMatokeo kura za maoni CCM jimbo la Kasulu, Kigoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameshinda kwa kura 405. 


Ndalichako - 405 

Sanzu - 80 

Onesmo - 1 

Husen - 1 

Patric - 1 

Hamadi - 1 

Ogenzi - 2 

Mteule - 2 

Basha - 3 

Muhanuzi - 3 

Mahesha - 1 

Ngenzi - 1 

Baraka - 0 

Onesmo - 0 

Kidalo - 0 

Mda - 0 

Bugui - 0 

Abdala - 0


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments