Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ndoa ya Esma kufanyika wikiendi hii

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREDada wa Msanii Diamond Platnumz, Esma Platnumz anatarajia kufanya sherehe ya ndoa yake (harusi) wikiendi hii. 


Kwa mujibu taarifa kutoka kwenye familia imeeleza kuwa Julai 30 mwaka huu (leo) kutakuwa na Maulid ambayo itafanyika Madale, Jijini hapa ikihusisha zaidi familia na watu wa karibu. 


Na kisha Agosti Mosi mwaka huu itafanyika rasmi reception ambayo itafanywa maeneo ya Lugalo Golf Club ambayo wageni waalikwa watapata nafasi ya kuhudhuria katika sherehe hii.


Post a Comment

0 Comments