Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu nae, rap God

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ndiye king of freestyles zinazomake sense na hajuna anaepinga, unashauriwa kuwa na dictionary pembeni maana nahisi anajua maneno yote, Ole wako!!Ole wako ujitie wenda wazimu uanzishe bifu na hiki kiumbe

Kumdisi eminem ni kama kumuua mbwa wa john wick, eminem na huyu bwana nahisi wana undugu maana wote wanateketeza kwa kalamu.

Yanni eminem kitendo cha kukujibu ukimdisi ni kama anakuchimia kaburi la career yako ujizike mwenyewe.

Huwezi kumdisi mtu ambaye tayari anajidiss, waliocheki 8 mile ya eminem nadhani mshanipata

Kina jarule wallijaribu wakateketea mazima, kina machine gun kelly nao wakunga tela, nick canon nahisi kaanza kutumia madawa maana sijui hata kapata hii confidence wapi.

Japo kina tupaccama notorious big walikuwepo vizuri, ila sidhani kama wamefika hata nusu ya eminem ila tatizo tu labda ni mzungu ndio mana wengi hawamp heshima anayostahili
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad