"Nilikuwa Naogopa Baba au Mama Ataona Tulivyokuwa Tunafanya na Calisah" - KarenMsanii Malkia Karen amefunguka kusema alikuwa anagopa yale yote aliyokuwa anafanya kwenye video ya wimbo wake mpya wakati wapo "location" wana-shoot video huku akihofia baba yake ataona.

Akizungumza kwenye show ya Friday Night Live Malkia Karen amesema, "Calisah ana unyama sana tena wa moto kabisa, kuna video za nyuma ya pazia zinakuja ndiyo unyama kabisa ila wakati tunashoot nilikuwa naogopaogopa sana nikawa nasema mbona tumesogeleana sana halafu kama baba yangu au mama ataona" amesema Malkia Karen

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE