Nimegundua Mke Wangu Anavuta Sigara Kubwa (Bangi)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


The beautful wife of mine smook weed.
Nimeoa Miaka mitatu iliyopita mke mzuri na mwenye maadili ya dini kabisa ili kilichonitokea leo nashindwa kuamini aisee

Sasa Leo nimeitwa na baba mwenye nyumba amenipa notes ya kuhama sababu ya mke wangu kuvuta Bangi kila siku mchana mimi nikiwa kazini, Nyumba tunayoishi kuna wapangaji wengine wawili na baba Mwenye nyumba...Sasa wanadai imekuwa usumbufu karibia miezi sita sasa mchana wanapata harufu ya Bangi kutoka nyumba yetu....

Mke wangu nikimuuliza anasema mbona wewe unakunywa?.. Kwani tatizo nini?...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad