Polisi Yathibitisha Kumshikilia Kwa Muda Bernard Morrison
Polisi Dar limethibitisha kumshikilia kwa muda mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison katika kituo cha Osterbay. Akizungumza na East Africa Radio RPC wa Kinondoni Rodgers Bukombe amesema Morrison alikamatwa baada ya kupishana maneno na askari waliotilia shaka gari lake. 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments