Pozi la Steve Nyerere baada ya kuambulia kura 6Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere ameonekana kama mtu ambaye ameishiwa nguvu baada ya kushindwa katika kura za maoni wakati akiwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Iringa mjini.

Licha ya ahadi alizotoa Steve Nyerere aliambulia kura sita (6) katika kura hizo za maoni kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.


 


 


OPEN IN BROWSER

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Atleast, Kamuoneshaa Kibeko kuwa nnaweza na Jimbo sisi Kijani tunalichukua... Steve Oyeee!!

    ReplyDelete