AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mshindi wa uchaguzi kwenye kura za maoni za Ubunge CHADEMA Mikumi ni Joseph Haule maarufu Prof. Jay ambaye alikuwa Mgombea pekee na alihitaji tu kura za Ndio au Hapana, kwenye kura 138 zilizopigwa, za Ndio ni 137, imeharibika kura moja na hakuna kura ya Hapana.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK