Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Prof. Jay “Tuchunge Ndimi zetu, Tufunge Mabakuli Malipo ni Hapa Hapa Duniani”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mbunge anaeongoza watu na wanyama Jimbo la Mikumi Joseph Haule maarufu Prof Jay, amesema kuwa kwenye maisha haya amejifunza kuchunga sana mdomo sababu malipo ni hapa hapa duniani na mwisho wa ubaya ni aibu.

Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter
“Nimejifunza kwamba sisi wanadamu inatupasa kuchunga sana ndimi zetu, kutafakari kwa kina kauli zetu na inapobidi ni kufunga kabisa mabakuli yetu kwani malipo yapo hapa hapa duniani na mwisho wa ubaya ni aibu“.
Profesa Jay ameteuliwa na Chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwania Ubunge kwa mara nyingine katika Jimbo la Mikumi.

Post a Comment

0 Comments