7/26/2020

Queen Darleen Ataja Siri ya Ushindi wa Zuchu


STAA wa muziki wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, afunguka kuhusu Zuchu.

Akizungumza na Risasi, Queen Darleen amesema kuwa Zuchu ni msanii ambaye walihakikisha wanamtengeneza na kupata kile anachokihitaji.


“Zuchu ni msanii ambaye tulimtengenezea mazingira, anatakiwa kujiheshimu. Tulijaribu kumchunga na kumtunza kwa sababu alikuwa akihitaji vitu vyote hivyo,’’ alisema Darleen ambaye ni First Lady wa WCB
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger