Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Quick Rocka uso kwa Uso na Majani Kwenye Party ya Kajala

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURENi kutoka Kwenye Birthday Party ya Mwigizaji Kajala iliyofanyika Ofisini kwake, miongoni mwa waliohudhuria EX wake Quick Rocka Quick Rocka pia.

Tumepiga story na wote wawili kuhusu ukaribu wao siku za karibuni na wamesema hawajarudisha mapenzi yao tena kama Watu wanavyodhani bali ni Washikaji tu wa karibu kwa sasa na kufikia hatua ya kuwa kama Ndugu
”kila Mtu anamjua Mpenzi wa mwenzake”

Licha ya kuepo Quick Rocka, pia Mkongwe Majani naye aliibuka kwa surprise na kukutana na mzazi mwenzake Kajala, kisha baadae akapata nafasi ya kuzungumza kwenye shughuli hiyo.

Post a Comment

0 Comments