Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Rado: Wasanii wa Bongo Fleva zamani walikuwa wanaomba kuonekana kwenye movie zetu, sasa hivi sisi tunajipendekeza kwao

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii wa Bongo movie @radomanking amezungumza kwa uchungu sana kuhusaina na tasnia ya Bongo movie kuporomoka. @radomanking ameeleza kuwa kuna wasanii wanafanya movie kwa sh mil 2 hiyo ni kuidhalilisha tasnia.

“Sisi tulikuwa wakubwa kuliko mpira hata muziki, wasanii wa muziki walikuwa wanaomba jinsi gani wataonekana kwenye movie lakini sasa hivi wanaringa wan on a tuna jipendekeza kwao"

Post a Comment

0 Comments