7/28/2020

Rais Kenyatta Awataka WAKENYA Kutojilinganisha na Nchi Zinazoficha Taarifa za CoronaRais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na Mataifa yasiyo na uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za #CoronaVirus

Kauli yake inakuja kufuatia baadhi ya Wakenya mitandaoni kusema nchi hiyo inapaswa kulegeza masharti ya kudhibiti maambukizi kama Tanzania

Amesema #Kenya ni nchi ya kidemokrasia na vyombo vya habari vipo huru hivyo haiwezi kuficha taarifa. Nchi hiyo imerekodi visa 17,975 na vifo 285 huku wagonjwa 7,833 wakipona hadi sasa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger