AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais Magufuli leo Julai 18, 2020 amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Zanizbar. Anachukua nafasi ya Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK