7/17/2020

Rais Magufuli Awapiga Chini Kitila Mkumbo na Potrobas Katambi

HABARI Rais MagufuliJP pia amemteua Josephat Paulo Maganga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma akichukua nafasi ya Patrobas Katambi, pia amemteua Mhandisi Anthony Sanga kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji akichukua nafasi ya Profesa Kitila Mkumbo, na kumteua Fadhili Juma kuwa DC Geita.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger