7/16/2020

Rapper Tekashi 69 Aikimbia INSTAGRAM Kisa Usalama Wake Anapoenda Kumaliza Kifungo Chake

Rapper Tekashi 69 ameachana na akaunti yake ya Instagram, imeelezwa ni kwa ajili ya usalama wake.

Akiwa amebakiza takribani siku 17 kifungo chake kumalizika, rapa huyo ameikacha akaunti yake ya Instagram. Huwenda amefuata maelekezo ya mwanasheria wake Lazzaro ambaye amekuwa akimuongoza Tekashi 69 kufuata muongozo wa sheria.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger