7/16/2020

Rayvanny Ampindua Harmonize Subscribers Youtube


Harmonize Alikuwa ni msanii wa pili kwa kuwa na subscribers wengi katika Mtandao wa Youtube Tanzania akiwa nyuma ya Diamond sasa Shilingi imegeuka.

Kwa sasa Rayvanny amempindua Harmonize na kushika nafasi ya Pili kwa kuwa na Subscribers 1.850,000  huku Harmonize akiwa na Subscribers 1,840,000 .

Wa kwanza ni Diamond Platnumz Anayeongoza kuwa na subscribers Million 3+ 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger