Rayvanny: Diamond Alinipigia Simu Kuhusu idea ya Quarantine kwa Sababu Anajua Mimi Mbunifu (+Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa muziki kutokea kwenye lebo ya WCB @rayvanny siku ya leo aliamua kumfanyia suprise shabiki yake aliyechora picha yake kando kando ya barabara maeneo ya fire Posta jijini Dar Es Salaam.

Mbali na kukutana na kijana huyo pia walijitokeza mashabiki wengi kwa ajili ya kuonyesha love kwa Ray Vanny
Bongo5 tulipata nafasi ya kupiga nae story na alizungumzia tukio hilo la picha yake kuchora kando kando mwa barabara.


Pia Ray Vanny amezungumzia kuhusu ngoma mbili ambazo zimefanya vizuri sana ambazo ni Quarantine na Amaboko’ Vivan ameongeza kuwa Verse ya Quarantine Boss wake @diamondplatnumz hakuielewa kabisa hata rafiki zake walikuwa hawaitaki lakini cha kushangaza ndio moja ya verse pendwa kwenye ngoma hiyo. Kuhusu Amaboko ameeleza jinsi inavyofanya vizuri nje ya nchi na kuwashukuru mashabiki wake kwa kuendelea kumsapoti.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad