7/21/2020

Ridhiwani Kikwete Aibuka Mshindi Jimbo la ChalinzeKatika Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amepata kura za maoni 369 za kugombea nafasi ya ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akifuatiwa na Ramdhani Maneno, aliyepata kura 273 na watatu Said Zikatimu kura 223.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger