Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Roma Aamua Kuwa Unfollow Watu Wote na Kuifollow CCM

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREStaa wa HipHop Tanzania , ROMA ameamua ku-unfollow watu wote kwenye Ukurasa wake wa Instagram , na kukifollow Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee.

Roma ni Kati ya Marapa wanaosifika kutokana na kuimba Nyimbo nyingi za harakati na Ukombozi , hivyo haijulikani ni sababu zipi zilizomfanya Mkali huyu kuchukua uamuzi huo.
KWA HABARI, LIVE TV, RADI

Post a Comment

0 Comments