7/31/2020

Sheikh Mkuu Dar Aibuka TENA Awaasa Wagombea Kufanya Kampeni za utu na HeshimaWanasiasa wameaswa kufanya kampeni za utu na heshima ili kuendelea kulinda amani iliyopo nchini.

Hayo yamezungumzwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salim katika viwanja vya mnazi mmoja iliposwaliwa swala ya Eid.

Mbali na hilo Sheikh Alhad amesema dini ya uislam inafundisha amani, mshikamano na ushirikiano hivyo ni vema kupeana kushirikiana kwa ustawi wa amani na maendeleo nchini.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger