7/28/2020

Shirika La Afya Dunia WHO Yainyooshea Mikono Corona "Haijawahi Tokea Duniani"Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema janga la #CoronaVirus ni dharura mbaya zaidi ya kiafya kutokea duniani

Amesema dunia inaweza kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo ikiwa taratibu mbalimbali za kiafya ikiwemo kuvaa barakoa zitazingatiwa huku akizipongeza nchi za Canada, China, Ujerumani na Korea Kusini kwa kudhibiti mlipuko

Hadi kufikia leo, jumla ya mambukizi 16,397,921 na vifo 651, 675 vimerekodiwa huku idadi ya wagonjwa waliopona ikifikia 9,810,294. Mataifa yaliyoathirika zaidi ni Marekani, Brazil, India, Urusi na Afrika Kusini

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger