7/31/2020

Skales kutoka Nigeria atoa neno baada ya kusainiwa na Konde Gang chini ya HarmonizeBaada ya taarifa za kuwa chini ya lebo ya Konde Gang ambazo zimetolewa na Harmonize, msanii kutoka Nigeria Skales kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost kwa kuushukuru uongozi mzima wa Konde Gang kwa kusema kuwa na ndio menenjimenti yake kwa upande wa Afrika mashariki.


Hello my East African lovers, I have officially come on board with Konde Music. The team @kondegang will now stand as my management in East Africa. Holler @choppa_tz for all things Skales in East Africa.”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger