Kunakitu kuhusu sehemu ambazo zimetelekezwa miaka mingi iliyopita ambazo wengine huita magofu, sehemu hizi mara nyingi hua zimetumika miaka ya nyuma na baadae kuachwa peke yake zikibakisha historia na kumbukumbu za watu waliopita, Kibaya ni kwamba sio kila sehemu inaachwa kwa mazuri, sehemu nyingine hushtua na kutisha kiasi kwamba hata kutembelea tu lazima roho yako isite.!
Kutana na Belgian Car forest.! Msitu ambao umeficha magari yaliyokua kwenye foleni na kutelekezwa yakiwa yamejipanga kama yapo barabarani.!
VIDEO:
_________
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni BonyezaHAPA