7/29/2020

Sugu Ataja Sababu Viongozi CHADEMA kuzuiliwa Kumuaga Mkapa "Tumechemka Tusipige Kona Kona"Aliyekuwa mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Joseph Mbilinyi amesema msafara uliobeba viongozi wa chama chicho leo kwenda kwenye shuguli ya kuaga mwili wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa ulichelewa kufika uwanjani hapo ndio maan ulizuiliwa kuingia.

Mbilinyi ametoa taarifa hizo leo kupita ujumbe alituma kwenye ukurasa wake wa twitter na kutaka vingozi wa chama hicho waache kupiga kona okna juu ya swala hilo.

“Nilitaka kukaa kimya nisiandike kitu ila nafsi inakataa. Leo tumechemka! Viongozi wangu tusipige kona kona tulichelewa uwanjani tusije tukapata laana bure” ameandika Mbilinyi.

Mapema leo asubuhi taarifa ziliendea kwenye mitandao ya kijaii zikidai kuwa polisi waliwazuia viongozi wa chama hicho kuingia kwenye shuguli hiyo bila sababu yoyote.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger