7/20/2020

Tessy Chocolate "Wanaume wa Siku Hizi Wamekuwa Wavivu Sana wa Kutongoza Ukimkazi Kidogo Anasepa"

Aliyekuwa mpenzi wa Aslay na Mama Mtoto wake amefunguka kuhusu uvivu wa wanaume wa siku hizi katika suala la kutongoza , amesema haya

"Wanaume wa siku hizi wamekuwa wavivu sana wa kutongoza, ukimkazia kwa masaa mawili tu anakata tamaa huta msikia tena, ukweli hawajui kuwa wanawake tumeubwa kuringa kidogo sometimes ukimkubali mtu haraka haraka unaonekana malaya' Tessy Chocotate
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger