Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Tumeshalipa Zaidi ya Tsh. Bilioni 800 kwa Ajili ya Korosho- JPM

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE“Tumeshalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 800 kwa ajili ya korosho, tumemaliza na hii Tsh. Bilioni 20 (iliyotolewa juzi), tuendelee kushikamana na Serikali yetu na tuendelee kuchapa kazi, Mtwara na Lindi ya sasa sio kama ya kipindi cha nyuma, zinapendeza, zinafurahisha” - JPM njiani kuelekea DSM akitokea kwenye mazishi ya Rais Mstaafu Mkapa Mtwara

Post a Comment

0 Comments