Tundu Lissu Kuuaga Mwili wa Rais Mkapa


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Julai 28, 2020, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu atahudhuria shughuli za utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Benjamin william Mkapa, katika Uwanja wa Uhuru. 


Taarifa hiyo imetolewa leo Julai 26, 2020, na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho Tumaini Makene, na kwamba ratiba ya shughuli zingine itatolewa. 


Aidha chama hicho kimesisitiza kwa wale ambao wataenda kumpokea Lissu hapo kesho Julai 27, wafanye hivyo kwa utulivu, amani na upendo mkubwa  


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

2 Comments

 1. Si, mnajua uamuzi uliotolewa Kisutu
  baada ya Wadhamini wake kuomba hivyo..!

  Kama kuhudhuria kwa Mtandao wa twitter ni sawa. Ajili ataapokelewa kwa Mujiibuwa Maamuzi ya Kisheria, ikiwa
  hatoleta hoja ya Ndege imemkimbia na
  Safali imevunjika.

  Au dokta alinipigia simu nikachukue Doziya kuisaidiawikimbili..ndio zake.

  MayRose..Oyee.!! Nyalandu Safii..!!

  Faru joni oyee. Laisi wa twita safi.!!

  Vibeko kwa Ujumla waoo..SAFI...¿¿??!!

  ReplyDelete
 2. Si, mnajua uamuzi uliotolewa Kisutu
  baada ya Wadhamini wake kuomba hivyo.!

  Kama kuhudhuria kwa Mtandao wa twitter ni sawa. Ajili atapokelewa kwa Mujibu wa Maamuzi ya Kisheria, ikiwa
  hato leta hoja ya Ndege imenikimbia na
  Safali imevunjika.

  Au dokta, alinipigia simu nikachukue Dozi ya kunisaidia kwa wikimbili..ndio zake.

  Dkt MayRose..Oyee.!!Nyalandu Safii..!!

  Faru joni oyee. Laisi wa twita safi.!!

  Vibeko kwa Ujumla waoo..SAFI...¿¿??!!

  ReplyDelete