7/21/2020

Ummy Mwalimu aibuka mshindi wa kura za maoni Jimbo la Tanga Mjini


Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameibuka mshindi wa kura za maoni Jimbo la Tanga Mjini baada ya kupata kura 783 kati ya kura 873 zilizopigwa, Mshindi wa pili ni Omary Ayoub ambaye amepata kura 41.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger