7/18/2020

Unajua wa Kumtag Sema Unaogopa uchawi,’ Zari Hassan Amchokoza Hamisa Mobetto Kupitia Post ya Idriss SultanZari Hassan  ametuma ujumbe unaoonekana kumpiga kijembe  baby mama mwenzake  Hamisa Mobetto.  Wote wawili wamepata mtoto na msanii Diamond  Platnumz.  Bifu ilianza wakati Diamond alipojihusisha katika uhusiano wa  pembeni na Hamisa na tangia hapo bifu yao imekomaa.Wakati huo Zari alikuwa mja mzito wakati Chibu alipoamua kucheza mchezo wake nje ya uwanja.

 Miezi kadhaa baadaye  zilitokea jumbe za sauti  za mazungumo kati ya  Hamisa na mwanamme mwingine ambaye Dimond alidai alikuwa mganga ambaye Hamisa alilenga kumtumia amsaidie ili kufanikisha ndoa yake na Diamond  kutumia nguvu za kishirikina.

Zari hajasahau patashika hiyo na katika mazungumzo ya mtandaoni baada ya kutakiwa na Idris Sultan katika posti moja ya kuchekesha Zari alirejesha jambo hilo  kwa kusema

 ‘ASK BABA TIFFAH, I’M A CORPORATE BABY MAMA’

Katika comment nyingine alisema

UNAMJUA WA KUMTAG SEMA UNAOGOPA UCHAWI


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger