Ticker

6/recent/ticker-posts
.

United yashuka, Liverpool Yang’ara Madrid na Barcelona Zaongoza Thamani ya Klabu Duniani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURELiverpool inaikaribia timu ya Manchester United kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi England baada ya kutwaa taji la Premier League hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Brand Finance Football Annual.


Liverpool close in on Manchester United in the list of the world's ...


Majogoo hao wa England sasa wakiwa nafasi ya nne Duniani na thamani yao imeongezeka kwa asilimia sita hadi kufikia paundi bilioni 1.143 (€1.262bn), wakiwa nyuma ya Manchester United kwa paundi milioni 47 ambayo wenyewe kwa sasa wakiwa na thamani ya paundi bilioni 1.190 wakishuka kwa paundi milioni 143 ambapo kwa sasa wanashika nafasi ya tatu katika thamani ya Vilabu duniani.


Hata hivyo klabu hizo mbili bado zipo nyuma ya miamba ya soka ya LaLiga, Real Madrid ikiongoza na Barcelona ikiwa katika nafasi ya pili.


THE TOP 10 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD


1. REAL MADRID £1.286bn / 13.8 per cent- (£205m loss)

2. BARCELONA £1.280bn / 1.4 per cent + (£18.1m rise)

3. MANCHESTER UNITED £1.190bn / 10.7 per cent – (£143m loss)

4. LIVERPOOL £1.143bn / 6 per cent + (£64.3m rise)

5. MANCHESTER CITY £1.018bn  / 10.4 per cent – (£118m loss)

6. BAYERN MUNICH £957m / 19.6 per cent – (£233m loss)

7. PSG £876m / 5.8 per cent + (£48m rise)

8. CHELSEA £859m / 1.9 per cent – (£17m loss)

9. TOTTENHAM HOTSPUR £710m / 3.3 per cent + (£23.5m rise)

10. ARSENAL £651m / 18.18 per cent – (£150m loss)

OPEN IN BROWSER

Post a Comment

0 Comments