7/14/2020

Uwezi Amini Hii Ndio Sababu Kwanini Mrisho Mpoto Huwa Avai Viatu....1:"Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mbingu na ardhi, hivyo hataki kabisa kujitenga navyo"
2: "wanadamu wanapokufa huzikwa ardhini,hivyo baraka zao zote,busara zao zote huishia ardhini kwahiyo yeye anatembea peku ili aweze kuzibeba kirahisi"
Kwa mujibu wake hizo ndizo sababu kuu zinazomfanya atembee bila kuvaa viatu, binafsi kama namuelewa hivi
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger