7/15/2020

VIDEO: Familia ya Majuto imepatiwa Milioni 65, Kanumba 20


Serikali imesema haijalala usingizi kutetea maslahi ya wasanii, ipo kazini na imeshaokoa Milioni 65 za marehemu Amri Athumani maarufu ‘Mzee Majuto’ na Sh. milioni 20 za marehemu Steven Kanumba na tayari familia zao zimenufaika na jasho la wasanii hao.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger