Vitu Kumi Msichana Anavyoangalia Kwa Mvulana Siku ya Kwanza Mnapokutana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza.

1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la.

2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.

3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.

4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.

5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.

6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.

7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda.

8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili.

9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.

10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi muache mwanamke anitizame kila kitu kama hangaiki kujua hali yangu ya kiafya ipo vipi hasa kuhusiana na magonjwa ya zinaa basi hata awe mzuri kuliko malaika sina haja na nae. I expect the question on how clean iam to be the first question from her and if not, then i know something is not right.

    ReplyDelete

Top Post Ad