7/15/2020

Wakili Albert Msando achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Arusha Mjini



Kutoka Arusha, leo July 15,2020 Wakili Albert Msando amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM. “nawashukuru wote ambao mmenipa moyo na kunitakia kheri, safari hii inapaswa kuwa ya pamoja”.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger