7/27/2020

WATCH Live: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

Watu mbalimbali wamejitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu ambaye anarejea leo

Lissu anarejea nchini kutokea Ubelgiji alipokwenda kwa ajili ya matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 2017

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger