7/26/2020

Watu Watano Wamefariki Dunia na Wengine 14 Wamejeruliwa Wakitokea Kwenye Harusi


Watu watano wamefariki na wengine 14 wamejeruhiwa baada ya gari la abiria lililokuwa likitoka kwenye  ya harusi kugongwa na trekta.

Ajali hiyo imetokea Bahi mkoani Dodoma ambapo watu hao  walikuwa wakitokea kwenye sherehe ya harusi eneo la Makamba wilayani Manyoni mkoani Singida.

Taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo tutawajulisha baadaye
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger