Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo

Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule

Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:

Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

8 Comments

 1. ivi kuolewa nako ni deal??nyooo

  ReplyDelete
  Replies
  1. watu kama nyiny ndo mnaoiba waume za wenzen ila nikwambie tu ukwel hawara utabaki tu kuwa hawara tu

   Delete
 2. Kuolewa n zaid ya deal ila utakuwa unaxema hvo either uliolewa ukaachika au ndoa yako ina migogoro mwanamke anakamilishwa na mwanaume so Admin amejaribu kutoa sifa anazotakiwa kuwa nazo mwanamke ili aolewe congrats Admin Girlz weng n pretenders wanaishi maisha ya kwenye tamthilia za kifilipino

  ReplyDelete
  Replies
  1. embu nitumie namba yako ya m-pesa

   Delete
 3. embu nitumie namba yako ya m-pesa

  ReplyDelete
 4. Kuolewa deal tena kuna utamu usioisha hamu

  ReplyDelete
 5. Kuolewa ni deal sana 2 yani  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)