7/26/2020

Wivu Wafanya Mbwa wa Familia Kuua Watoto Mapacha Hawa


Tukio hilo limetokea katika mji wa Pipira huko Brazil. Mbwa huyo aliwashambulia vichanga hao chumbani walimokuwa wamelala wakati mama mtu akizungumza na jirani. Mtoto mmoja alifikishwa hospital akiwa tayari amefariki na mwingine alifariki muda mfupi baadae licha ya juhudi za madaktari kujaribu kuokoa maisha yake ambapo mama mtu alihangaika kwa miaka tisa kupata ujauzito

Inadaiwa mbwa huyo alipata kisirani cha wivu na kufanya mauaji hayo baada ya kugundua mmiliki wake alipunguza upendo na attention kwake na kuhamishia kwa mapacha hao baada ya kuzaliwa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger