Wivu Wasababisha Mwanaume Kumfungia na Kufuli Mke Wake

Mwanamme mwenye wivu amfungia na kufuli mpenzi wake ili asi cheat na kuondoka na funguo.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 25 aliamua kumshtaki mpenzi wake kwa polisi  baada ya kuchoka kuvumilia maumivu ya kukaa masaa bila kwenda haja na kuogopa kukata Jeans kwa mkasi kwa kumuogopa mpenzi wake huyo mwenye Umri wa miaka 40.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments