Wizara ya Elimu yasema tathmini waliyofanya imebaini ni ngumu kuongeza saa 2 za masomo....Shule zaelekezwa kufuata ratiba za masomo 8 kama zamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wizara ya Elimu imetolea ufafanuzi ongezeko la saa 2 za masomo kwa Wanafunzi baada ya Shule zote nchini kufunguliwa ili kufidia muda ambao umepotea kutokana na mlipuko wa CoronaVirus 

Wizara hiyo imesema tathmini waliyofanya imebaini jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwasababu kuna Shule zenye vibali vya kuendesha masomo kwa mfumo wa 'double shift'. Pia suala la usafiri kwa wanafunzi waishio mbali nalo limeonekana kuwa ni changamoto

Kutokana na hilo, Wizara imezitaka Shule kutumia ratiba za vipindi 8 kama ilivyokuwa awali na Shule zitakazoona umuhimu wa kuongeza muda wa masomo zitatumia muda uliopangwa kwenye ratiba zao 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad