7/18/2020

Yanga "Tukikosa Nafasi ya Pili Itakuwa ni Aibu Sana"WAKATI leo Jumamosi ikiivaa Mwadui pale Uwanja wa Taifa, Dar, Kocha wa Yanga, raia wa Ubelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa kitu pekee kilichobaki katika mikono yao ni kuhakikisha kuwa wanaitwaa nafasi ya pili kwenye ligi kuu ili kuipa heshima timu hiyo.


Eymael amesema hawawezi kumaliza ligi wakiwa wamekosa kila kitu, hivyo kumaliza wakiwa katika nafasi ya pili ndiyo mafanikio pekee kwao kwa msimu huu na watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha hawaikosi nafasi hiyo ili kuiepusha Yanga na aibu.


Kusoma Habari kamili, Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store. Utasoma Hbari, Magazeti yote kutoka GPL, Hadithi za Eric Shigongo n.k


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger